khaaaaaa mgeni mbona kwa mkwala hivyo?? kulikoni?? muone babu Asprin kwanza kwa ukaguzi, na hommie wake Kaizer kwa usajili! halafu utachagua kuendelea na ukaguzi wa babu Asprin au upekuzi wa kina Young_Master na wenzie! babu muonyeshe tofauti ya upekuzi na ukaguzi, achague mwenyewe, kwa picha tafadhali hubby!AM A NEW MEMBER CHITCHAT.
Mnanikaribisha,hamnikaribishi?
Ubabe ubabe tu.
khaaaaaa mgeni mbona kwa mkwala hivyo?? kulikoni?? muone babu Asprin kwanza kwa ukaguzi, na hommie wake Kaizer kwa usajili! halafu utachagua kuendelea na ukaguzi wa babu Asprin au upekuzi wa kina Young_Master na wenzie! babu muonyeshe tofauti ya upekuzi na ukaguzi, achague mwenyewe, kwa picha tafadhali hubby!
Nilikozaliwa ukitamka machine gun ni kama kusema fimbo ya mnyaa........Sema upinde na mshale, rungu au nkomogho.........BTW kunani shem?
nitashukuru! hubby tukutane wapi? au kura bado zaendelea, hivi BADILI TABIA yupo wapi? simsomi ujue!? isijekuwa amebebwa na hao wanaotaka kuvunja ndoa yako,Hahah... Camera angu imenletea ungese. Ntambandikia kesho uthubuhi fundi akimalizamo kuitengeneza.
nafanya mishe mishe za kuingia maisha baadaye afu kuna mtu ananiziungua so unanishauri nitumie upinde na mshale?
hahahahaha platozoom upo, lakini huvumi, kha!Nina wasiwasi mtoto wa serelaki uliyepelekwa Baby care na kuveshwa daipa utotoni...........Inglishi Akademi halafu baadaye Intaneshino skuli kama utaweza kushika vizuri upinde na mshale.............. Lakini usiwe na shaka ingia na rungu...pigo moja lazima mtu akimbizwe moja kwa moja Apollo.
gfsonwin namlenga kila siku lol si umesema isije ikabaki 96? mkakati ndo huo? apo kwa Asprin kama unantisha vile? khaaa shemeji tenaaaa?
Nina wasiwasi mtoto wa serelaki uliyepelekwa Baby care na kuveshwa daipa utotoni...........Inglishi Akademi halafu baadaye Intaneshino skuli kama utaweza kushika vizuri upinde na mshale.............. Lakini usiwe na shaka ingia na rungu...pigo moja lazima mtu akimbizwe moja kwa moja Apollo.
Nimemaliza makutopora 1989, na tulienda usandaweni kujifunza matumizi ya silaha za jadi! chezeya! hahaha
AM A NEW MEMBER CHITCHAT.
Mnanikaribisha,hamnikaribishi?
Ubabe ubabe tu.