Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Nisimungunye maneno ,kwa moyo wangu wa dhati na kama ningekuwa namjua mganga wa kuloga ningeomba awaloge Argentina wasibebe World Cup.
CR7 umri umekwisha hope hataonekana kwenye next world cup, lakini amepambana sana kwa kuipambania Ureno lakini Mungu hajawa upande wake .Sasa naomba Mungu Sana wote wakose hata Andunje nae alikose hilo kombe ngoma iwe droo.
Kesho nakuomba sana Alkahel Mwakipesile Mbape ufanye yako ili huyu A dunje anaejifanya yeye ndoo Mungu wa watu wa Argentina alie machozi.Na najua nae ndoo anastaafu kwenye michuano ya world cup. Eee Mungu tusaidie.