Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Medecin
Siku zote sikuwahi kujua kama wewe ni mlemavu wa macho, ila leo ndio nimejua kuwa ni kipofu. Pole mkuu je tatizo la kuzaliwa nalo au umelipatia ukubwani?Hivi aligusa mpira jana..? Maana nilikua nasikiliza kwa mtangazaji wa kiingereza hajamtaja hata mara moja kwa dkk 45..au huko wa kiswahili alimtaja?
Naona unanichamba..Siku zote sikuwahi kujua kama wewe ni mlemavu wa macho, ila leo ndio nimejua kuwa ni kipofu. Pole mkuu je tatizo la kuzaliwa nalo au umelipatia ukubwani?
Kwa sisi tusio na tatizo la macho, hatukutegemea kusikia atajwe kwa mtangazaji wa kiswahili wala wa kingereza bali tumemuona kwa macho kwenye luninga na wengine walienda uwanjani. Ngoja vipofu wenzio waje wakusimulie maana mtakuwa na lugha moja kwavile wote mnategemea kusikiliza badala ya kuona