"Mimi si Fisadi....."

baada ya kukaa na kumtafakali Lowassa nimekuja kukumbuka kuna kamba aliyotaka kutufunga watanzania kipindi fulani yaani kama ingekubali basi watanzania woote tungekuwa wodi ya vichaa bila kupenda.

huyu jamaa alikwenda sijui nchi gani ya asia kisha alivyorudi akaja kutuonyesha picha eti huko alikokuwa kunapatikana "mvua za kupanda" so kama itawezekana tuingie mkataba na jamaa walete mambo yao duuuh.
 
mfa maji huyo,,,amenunua waandishi wamsafishe na wao wameshindwa,,,sasa naona ameamua kujisafisha yeye mwenyewe kupitia vikundi vya watu....Ipo siku tutasikia ameenda hata kwenye Kitchen Party nyie ngojeni tu..damu ya watu iko nyuma yake hadi mauti yamkute...
 

This man must have gone crazy, msibani unajitetea, majukwa ya kuongelea hana, ngoja haonje joto ya jiwe hapo bado hajashitakiwa akishitakiwa ndo atatembea uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…