Mimi sicheleweshi wewe je???

hahahahahahahahahahah, tehe tehe tehe kwikwikwikwikwi oshoshoshoshoshsho kwakwakwakwakwa uwiiiii mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ama kweli kiboko ya mkate ni chai
Ha haaa haaaaaaa hawakukosea waliosema hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Hata uwe wa ngano ile ya kienyeji, utalainika tu......ha haa haaaaaaaaa
 
Ha haaa haaaaaaa hawakukosea waliosema hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Hata uwe wa ngano ile ya kienyeji, utalainika tu......ha haa haaaaaaaaa
hahahaahaha, sawa bwana! nakutakia Jumanne njema
 
hahaahahha, Joseverest umeuona mtongozo wa mwanamke huo! hahahahha sasa sijui ataniambia nimpe muda afikirie hahahaha
naona umeamua kufunguka kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea chiki....subiri jibu lako hapahapa au ndio mambo ya PM?? [emoji23][emoji23]
 
Ufikirie nini, kwani akiliyako umeiacha nyumbani[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…