Elections 2010 Mimi Sijaandika Hata Neno Moja Hapa...

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,789
Reaction score
473
From CCM yazuia JK kushiriki mdahalo

Comments





#44 sele 2010-09-12 19:49
MAKAMBA' KINANA' NA MGOMBEA WENU INGIENI KWENYE MDAHALO HALAFU NDO MSEME HAYO.







#40 LENGAI 2010-09-12 17:32
Kwa nini Doctor Jakaya Mrisho Kikwete anakwepa mdahalo na kina Prof Lipumba na Dr Slaa kwenye huu uchaguzi wa Kidemokrasia Tanzania au Elimu ya Udakrati wa kuchakachuaaaaa aaa!

#39 DAUDI 2010-09-12 17:21
Kinana una bahati sana kwa kuwa muadilifu kwa serikali na chama cha CCM vinginevyo wangekuwekea zengwe kuwa wewe sio mtanzania ni msomali







#35 Expedito Mduda 2010-09-12 14:40
Hivi katika akili ya kawaida tu, we makamba na mwenzio kinana hamuoni mnakiua chama chenu? Kadri yenu mnafikiri watanzania bado ni wale wa kudanganyika! Hapana, mmekosea! Nendeni mdahaloni haraka!!!





 
Matatizo ya Watanzania wa vijijini;
maji,
nishati(umeme),
soko la mazao yao,
miundombinu(barabara na usafiri wa reli usioaminika,
huduma mbovu za afya,
elimu duni(majengo yanaitwa shule!),
usalama(watu wanauawa kwa imani za kishirikina),
mimba mashuleni(oh,hili alisema wana kiherehere)
mawasiliano(mpaka wapande juu ya mti ndo wapate network).
Now,Kinana's of this world...Niambie kuwa JK halifahamu lipi kati ya haya??Yalikuwepo alipopita 2005 na bado yapo mpaka le😵h,nilisahau kuwa CCM pia ni tatizo kwa wananchi!
 
Mpaka sasa waajiriwa wa kusafisha hawajafika kuwatawaza mabosi wao? Wako wapi leo au ndo mambo ya long weekend?
 
yalaaaaaaa Munguu yupo bwana ccm itatoweka kama utawala wa rumi ulivyotoweka KULA NA USAFIRI,PESA TUNAPATA CCM BUREEE,KURA NI CHADEMA KWA DR.SLAAAAA NA WABUNGE WAKE PIA MADIWANI
 
yalaaaaaaa Munguu yupo bwana ccm itatoweka kama utawala wa rumi ulivyotoweka KULA NA USAFIRI,PESA TUNAPATA CCM BUREEE,KURA NI CHADEMA KWA DR.SLAAAAA NA WABUNGE WAKE PIA MADIWANI

taratibu aisee, nasikia wakazi wa Moshi Mjini wanalalamika kwamba safari hii pesa za CCM hazitoshi ati!!!
 
taratibu aisee, nasikia wakazi wa Moshi Mjini wanalalamika kwamba safari hii pesa za CCM hazitoshi ati!!!
Siyo hazitoshi!! Hazipokelewi kwavile hawazihitaji,zimechafuka mno!!! Zinanuka uovu wa dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…