King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mbona kama AI hiyo? Hayo Mambo wanayoyaongea hao watoto yalishafanyika kitambo sana ,ni kama wanayarudia ,kuna watu walikuwa wanaitwa MAPROSOOO enzi za miaka ya 80 mpaka 90 ,wakaja MAPEDEJHEE miaka ya 2000 na sasa MATAJIRI.King Kong III bebi wako huyu huku anakula zake ugali
Kwani nani kasema unaupenda?Hata mimi siupendi... UGALI
Mheshimiwa Kadhi Mkuu 1 Hakuna mtu aliyesema, itakuwa ni uongo mbichi kabisa ni maoni yangu tu! kuhusu hii thread.Kwani nani kasema unaupenda?