[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nayo, tunywe tule
Sasa hadi huyu kichaa wa milembe yuko huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsanteeeeeeee!!!!!!!Daaah ila kwa sherehe mmeua .....pongezi kwenu
UsijariiiiiTukutane baada evaluation za jezi zilizonunuliwa Sana msimu huu
Da jamani [emoji3][emoji3][emoji3]Mijezi inafanana na mabasi ya Machame, Red Bull, na misabuni ya magwanji.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zile zenye ramani ya sensa ya watu na makazi ndo nzuri.
Jezi ni sawa na demu kila mtu ana maoni yake,yupi mzuri na yupi mbayaSalaam Wana JF,
Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana...
Yule modo alivyolegeza macho na kipuli cha puani, vinaibua maswali mengi sana.Kabisa mkuu.....kinachonisikitisha hata yule model alievaa amekaa kike kike