Unashindana na timu ya watoto na unapigwa 😀😀😀😀Ile ndio ilikuwa mechi Bora ya ushindani
Vipers si vitoto vileWatoto gan tena
Tunaomba moja tu wakiwa na jezi mpyaHpn mkuu zipo
Nakuachia mwezi mmoja ugoogleWait Ni Google kwanza
Poleeeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walimu wako walikuwa nakazi Sana kukuelewesha [emoji23][emoji23]
Sema tu ukweli mkuu.....jezi tumeharibu