Mimi sio CCM sio CHADEMA!

Mimi sio CCM sio CHADEMA!

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Nashangaa vijana wadogo bila mlengo wanaosema kuwa siasa haiwahusu!

Huwa mnakosea wadogo zangu, Mwanasiasa anaweza amua tu na ukalala mahabusu!
 
Angalau waijue katiba, haki zao, wajibu wao, Sheria za nchi ili wajisimamie. Mwanasiasa ni nani hata akulaze lupango? Ni muhimu pia kuwa mfuatiliaji wa masuala ya nchi, rasilimali zinavyotumiwa, n.k.
 
Angalau waijue katiba, haki zao, wajibu wao, Sheria za nchi ili wajisimamie. Mwanasiasa ni nani hata akulaze lupango? Ni muhimu pia kuwa mfuatiliaji wa masuala ya nchi, rasilimali zinavyotumiwa, n.k.
Ni sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom