Mimi sio chizi ila watu wananitia uchizi

Mimi sio chizi ila watu wananitia uchizi

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Haki ya MUNGU vile mimi sio chizi ila watu wananitia uchizi. Kutotenda haki, kutenda ubaya, uongo etc. Vitu kama hivi ndio vinanitia uchizi na hivi vyote vinachangiwa na wanadamu. Mfano mtu akiweka promise halafu asifanye kama alivo promise huwa nakasirika sana nachanganyikiwa kabisa. Ndio nina hasira kidogo na nikikasirika wananiambia mimi ni chizi lakini ukipata kunifahamu kiundani utanipenda tu, sinaga matatizo na mtu ila ukiniletea matatizo mwisho wake utaniambia chizi tu 🤗
 
Sijaelewa,au anatutisha? poa nisije kukuudhi uonyeshe uchizi.
 
Mbona kama nawaunga mkono mtazamo wao juu yako. Are you sure ww sio chizi?
 
Nimeelewa kwann wanakuhisi kuwa ww ni wa milembe.
 
Wewe kweli chizi sio bure"... Maana hii mada yako umeiwasilisha humu as if kuna members wa JF mnaojuana nje ya JF ..so unajaribu kujitetea kwao ili waweze kukuelewa ...

Punguza kubwia ugolo
 
Back
Top Bottom