Mimi sio chizi ila watu wananitia uchizi

Usijali Mkuu. Uchizi ni moja ya hulka za binadamu. Hasira pamoja na kusahau ni sehemu ya uchizi na kila binadamu anao.

Tatizo ni je, uchizi au ukichaa wako ni wa kiwango gani?

Au ni marafiki zako ndiyo hukuita niaje mchizi wangu?

Pole sana kwa kadhia hiyo Mkuu. By the fact, hata nawe timiza yote unayoyaahidi. Kuna kipindi nadhani ulileta Uzi uliotanabaisha kuwa, atakayetaja jina la movie wimbo ulio-upload humu basi utampa $100. Hukufanya hivyo.

Timiza unayoahidi ili utimiziwe ulichoahidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…