Japokuwa sipendi siasa lakini wewe huna sifa za kuwa Mgombea wa chama chochote hapa Tanzania achilia mbali urais hata udiwankutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. sasa kama chama changu c.c.m, kitaninyima haki ya kugombea 2025! na mwenyekiti akaruhusu fomu iwe moja tu! na wakampa mmoja tu! basi kwa mara ya kwanza nitakwenda kudai haki yangu ya kikatiba mahakamani., taratibu za chama sio katiba ya nchi ,nitapewa fomu ya urais kupitia mahakama kuu!
Amka usingizini, na ndoto hii ikikupeleka chooni, usinye utajinyea haupo chooni, unaota.Kutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. Sasa kama chama changu CCM, kitaninyima haki ya kugombea 2025...
Pascal MayallaPaskali anataka kugombea tena??? Jamaa hajui kukata tamaa kabisa.....japo ccm wanamkata ila hakatiki
Hivi ukichukuwa fomu ni kikao gani kinachojadili na kuchuja na kukaa wagombea?2025 CCM itapitia wakati mgumu, maana utaratibu ni kwamba lazima makada wajitokeze kugombea nafasi ile...
Kwanza kitendo tu cha kuchukua fomu ya kugombea nafasi na Mwenyekiti wako tayari ni kutangaza vita.Hivi ukichukuwa fomu ni kikao gani kinachojadili na kuchuja na kukaa wagombea?
Ukipata jibu la swami hili usinijibu, maana Tanzania INA wajinga wengi Sana.
Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm, inawezekana wengi humu hamjui nini maana ya Mwenyekiti na Amiri Jeshi mkuu.
Wengi wanajizima data, waulize Kamati mkuu inachaguliwa na nani?Kwanza kitendo tu cha kuchukua fomu ya kugombea nafasi na Mwenyekiti wako tayari ni kutangaza vita...
Hivi kule chadema hakuna wazee wastaafu wa kushauri, mbona unataka ushauri kwa ccm tuu?2025 CCM itapitia wakati mgumu, maana utaratibu ni kwamba lazima makada wajitokeze kugombea nafasi ile...
Huyo mzanzibar unayemzungumzia anamalizia awamu ya 5 aliyorithi, hakuchaguliwa popote wala hakupitia huo mchakato wa chama wa kuchuja wagombea. Iweje mtake mchakato wa kutopingwa ufanyike kwa mtu aliyerithi?2025 CCM itapitia wakati mgumu, maana utaratibu ni kwamba lazima makada wajitokeze kugombea nafasi ile...
Hii drawing yako ni upotoshaji mtupu, Ccm kwa miaka 60 imeongozwa na wenyeviti 6 tu na Chadema kwa miaka 30 imeongozwa na wenyeviti watatu.Hivi kule chadema hakuna wazee wastaafu wa kushauri, mbona unataka ushauri kwa ccm tuu?View attachment 2406335
Kutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. Sasa kama chama changu CCM, kitaninyima haki ya kugombea 2025!
Na mwenyekiti akaruhusu fomu iwe moja tu! Na wakampa mmoja tu! Basi kwa mara ya kwanza nitakwenda kudai haki yangu ya kikatiba mahakamani, taratibu za chama sio katiba ya nchi, nitapewa fomu ya urais kupitia mahakama kuu!