Michigan boy
Member
- Aug 10, 2017
- 84
- 84
wakuu kwema, aisee mangi imenibidi nifungue akaunti mpya ili nijiachie sasa ile ya zamani nilikuwa chata mno arif
hebu tushirikishane ulishawahi kufungua akaunti mpya sababu akaunti yako ya zamani ilikuwa inakuchoresha?
atakaepata kutaja acc yangu ya zamani nina zawad yake