Vipi kuhusu kukimbiza Mwenge??
Kama Katiba Mpya ziko kuanzia Kenya,Ghana,South Africa nk lakini kote huko maisha ni hovyo tuu
Vipi kuhusu kukimbiza Mwenge??Kama Katiba Mpya ziko kuanzia Kenya,Ghana,South Africa nk lakini kote huko maisha ni hovyo tuu
Vipi kuhusu maokoto??Ni jambo zuri tu hata wewe unaruhusiwa kuukimbiza!
Vipi kuhusu maokoto??
Mwenge una shida gani?Vipi kuhusu kukimbiza Mwenge??
Katiba iliyopo haijaanza kutumika jana.Wamekuwepo viongozi na kupita.Mbona haikupigiwa kelele kiasi tukisikiacho leo?Kunani?Jana si leo.Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya.huu ni usanii,upuuzi na ufujaji wa mapato.
Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya watanzania.
Watanzania wanataka maji,elimu,afya na fedha mfukoni ...baasi haya mingine ni indoctrination ya walami tu.
let us command and let all the politicians understand our true demands.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hakuna lugha ngumu hapo hapo.Kwani huwezi kuandika mawazo yako bira kutumia lugha ngumu?.
Kenya unailinganisha na Tanzania?Mbona hata nchi zenye katiba inayoruhusu rais mteule kupingwa mahakamani kama Kenya, Zimbabwe na nchi nyingi tu za kiafrika anayeoingwa bado anarudi kuwa rais! Sasa hiyo katiba inakuwa imesolve nini?