Mimi sio njaa njaa kama wanavyodhani wao

Mimi sio njaa njaa kama wanavyodhani wao

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Kuna rafiki yangu mzungu alitaka anitumie euro20 yuko nje, nimekataa nimemwambia asante, heshima yangu ni bora kuliko euro20
 
Daah huyo jamaa alitaka kukutumia Tsh 48,805 kutoka nje....pokea tu itapunguza ukali wa maisha...
 
Hii nchi ina majinga hii.. yaani kupewa pesa bila ya kufanya kazi yeyote na jamaa yako tena, mtu anawaza kupoteza heshima.. heshima ipi sasa, tuanzie hapo kwanza!
 
Alitaka akutumie bure bure tu? Yaani tu hivi hivi tu jomba? Bure kabisa?

Au basi
 
Mie mzima rafiki. Za masiku tele njeema kabisa. Sijui kwako rafiki?

Ila unatabia mbaya hata kuniteli. 😅
🤣🤣🤣🤣🤣!! Huwa tunagongana sehemu humu nikahisi ushanotice rafiki 🤣🤣🤣🤣🤣😘😘!!
 
Back
Top Bottom