Selle Milao
Member
- Mar 30, 2016
- 32
- 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uku akitupia Lipustikkii...
Mimi ninayo ya Mazembe, Jumamosi naitinga kuanzia asubuhi mpaka Taifa
Wewe vaa nyekundu mimi navaa boxer nyeusi
Ndio unatatizo nachoHicho ki pensi unavaa wewe?
Wewe lakini usikae upande wa TVMimi ninayo ya Mazembe, Jumamosi naitinga kuanzia asubuhi mpaka Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umezoeleka.Dhidi ya Nkana,Soura,Al Ahly na Vita ulichukua likizo ya uzazi kila baada ya mechi. Naona mechi na Mazembe ndio utazalishwa.Mimi ninayo ya Mazembe, Jumamosi naitinga kuanzia asubuhi mpaka Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumamosi ndio utapata ujauzito then utaenda kujifungulia LubumbashiWewe umezoeleka.Dhidi ya Nkana,Soura,Al Ahly na Vita ulichukua likizo ya uzazi kila baada ya mechi. Naona mechi na Mazembe ndio utazalishwa.
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Hicho ki pensi unavaa wewe?
Hizo santuri za wewe usio riziki tumezizoea .Mlipigwa kimoko februari 16 hukuonekana mwezi. Sasa umeibuka kama senene.Jumamosi ndio utapata ujauzito then utaenda kujifungulia Lubumbashi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unatatizo nacho
Wapo njia kuelekea DarHahaha natamani hii picha angepost shabiki wa Simba.
Shorts mapigo ya Mo hayoNi wale wale wabinuaji. Cheki hiyo shorts huhitaji ushahidi.
Upo sahihiNi wale wale wabinuaji. Cheki hiyo shorts huhitaji ushahidi.