Mimi siyo Muislamu lakini ninadhani Sheikh Walid hakutendewa Haki

Una hoja, lakini mtu akisimamishwa nafasi yake haiwezi kujazwa anayeshika nafasi hiyo anakua amekaimishwa.

Kwa jinsi taarifa zilivyo ni kwamba nafasi imejazwa maana yake hukumu imekwishapitishwa.

Kama nilivyosema hapo awali, mimi siyo Muislamu na wala sina elimu ya dini ya Kiislamu, ila misingi ya haki ni universal
 
Hapo kwa Gwajiboy si kweli.

Ilitoka baada ya kuanza kuchafuana na Makonda akiwa RC wa Dsm(kashfa ya operesheni mihadarati) katika utawala wa 'jiwe'.
 
EMBU NIMALIZIE KUBET

MNANICHOSHAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…