Mimi siyo mwanasheria lakini namshauri Sweetbert Nkuba asikate rufaa

Mimi siyo mwanasheria lakini namshauri Sweetbert Nkuba asikate rufaa

lusohoko

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2024
Posts
800
Reaction score
696
Kwa uelewa wangu, ni kweli kabisa ukihisi kutotendewa haki unaenda ngazi nyingine kutafuta haki. Lakini Cha mhimu ni kuangalia mazingira.

Pia kuangalia kama sababu unazozitoa zina mashiko. Mimi siyo mwanasheria lakini namshauri Sweetbert aangalie uwezekano mwingine.

Amekutana na watu waelewa, wanaokwenda na wakati. Na arejee maneno yake ya siku ya mdaharo. Nilidhani Kwa hoja kwamba mitandaoni aliona matokeo kuonekana kabla ya kutangazwa haiingii akilini tutaaminije kama alituma yeye au wakala wake ili kuvuruga matokeo baada ya kuona kapigwa. Akashtaki mtandao uliotoa matokeo.

Kwa habari ya kuongeza karatasi kwamba zimepungua sioni kosa. Kama wengine wasingepiga kura angesema wajumbe wengine hawajapiga kura. Pia aangalie kwenye orodha ya wapiga kura kama wapo ambao hawakuwa halali, au namba (orodha) kama imezidi au kupungua kulingana na matokeo. Asitafute mchawi.

Watu wa leo siyo wa mwaka 47.

Pia soma > Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS
 
Back
Top Bottom