Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Hili ni jicho la mwewe hivyo naomba mniamini kuwa Mourinho leo atenda kupack bus hivyo timu haitacheza mpira wowote zaidi ya kuzuia hivyo matokeo ya mwisho yatakuwa
Huddersfield 0
VS
Man United 0
Tukubali tukatae ila kikosi chetu hakina muunganiko kabisa,kila mchezaji anacheza kwa aina yake hivyo ndani ya timu kuna manchester wengi sana.
Wachezaji wengi hawana sifa ya kuichezea Man United akiwemo Henrik Mkhitaryan yani huyu sio mchezaji wa kuchezea timu kubwa kama Man United.
Najua kuhusu Mikh wengi mtanipinga ila kiukweli sio type yetu kabisa,ni mchezaji mwepesi sana akiwa na mpira,madhara yake madogo mno akiwa anaelekea golini.Nguvu ya soda aliyoanza nayo akiwa anacheza na timu dhaifu akawafanya washabiki wamuamini kasoro mimi tu.
Nilishajenga mazoea ya kumuona Mikh anaposogelea goli na kupiga shuti akapaisha juu au akapiga shuti la mtoto mara zote aendapo golini.Wakuu kama kweli mnafuatilia mpira naomba mumchunguze huyu Mikh anapoenda na mpira golini na kuamua kupiga shuti ndio mtakapoona kichekesho ila yeye utamuoona anainama chini na kurudi sehemu yake baada ya kupaisha.Yani kwa kifupi Mikh sio wa kuichezea MANCHESTER UNITED
Inabidi ifike wakati tukubali kuwa timu yetu haishambulii kabisa,hatuchezi mpira wetu tuliuzoea tangu enzi za Fergie.Sisi tumekuwa wazuiaji tu kuanzia kipa mpaka Lukaku.
Tukiendelea na aina hii ya mpira anaouleta Mourinho huku Pogba akiwa ndio mchezaji anayetegemewa abadilishe matokeo pale Old trafford basi tusitegemee muujiza wa kuingia top 4 wala kuingia robo fainal ya UEFA.
Kutoka na haya yote niliyoyaeleza pamoja na mengi ninayoyaona nasema kwa kujiamini kabisa kuwa game ya leo itaisha BILA KUFUNGANA
UNITED IDUMU MILELE
GGMU