theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
hakuna timu mule..muda wa kuporomoka umefika,warudi nafasi yao ya 8,hapo anafata spurs na chelseaMuda tu mlikua mxhapgwa mbili
Man 4-1 unf
Man U, matawi ya juu...4G....
Tatashinda 2-0 au zaidi
Interesting!!!Umeandika PUMBA. Halafu PUMBA zenyewe hazifai hata kuliwa na kuku.
kwahiyo wamempitia kwa nyuma aloooooo we mbayaaaaπMkuu Kama ulibeti basi Muhindi Kashakutuliza Coz Umewapenda Sana Manure Kuwagaiya Draw...
Oh No! Kumbe Mourinho Kapaki Basi Raundi Abauti.. πππ
Zinafaa kuliwa na Huddersfield au?πUmeandika PUMBA. Halafu PUMBA zenyewe hazifai hata kuliwa na kuku.