MIMI USHUHUDA: Naamini Sisi CCM Tuanhitaji Zaidi Katiba Mpya Zaidi ya Makundi Mengine Nchini

Maseto

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,092
Reaction score
819
USHUHUDA: Naamini Sisi CCM Tuanhitaji Zaidi Katiba Mpya Zaidi ya Makundi Mengine Nchini.
Hii ni kwa sababu sisi ndiyo tumepigika zaidi.
 
Ni kweli wanachama na viongozi wa CCM,wanahutaji Katiba mpya kuliko kundi jingine!
Mfano, Rais kuwa Mwenyekiti wa CCM,insaumiza wanachama sana,kwenye uteuzi
 
USHUHUDA: Naamini Sisi CCM Tuanhitaji Zaidi Katiba Mpya Zaidi ya Makundi Mengine Nchini.
Hii ni kwa sababu sisi ndiyo tumepigika zaidi.

Nakuelewa sana.
Si vibaya na nyie Mkiisoma Namba pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…