Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
kifupi huu wimbo niliupenda sana, then ujumbe wake ukikua mkubwa. Alikuwa ni Abb skilz na Blue enzi za 2003. Napenda ule mstari unaosema " jua wazi nikikuona roho inadunda, nipo radhi ndugu zangu wanivike sandaaa.... Oh oh oh mimi na wewe nitakufa na wewe...", Je unaukumbuka? Unapenda mstari gani ktk huo wimbo? Na ni wimbo gani ulikukamata enzi zile? BONGO FLEVA NAIPENDA!