my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,397 Jun 26, 2016 #1 mi siamini km hakuna mungu mi siamini km kuna ktu cha bure duniani mi siamini km maisha magum yanafanya mtu kua changudoa mi siamini uongo mi siamini km duniani kuna masikini mi siamini km furaha inapatikana nje ya mtu je wewe huamini nn?
mi siamini km hakuna mungu mi siamini km kuna ktu cha bure duniani mi siamini km maisha magum yanafanya mtu kua changudoa mi siamini uongo mi siamini km duniani kuna masikini mi siamini km furaha inapatikana nje ya mtu je wewe huamini nn?
omshasha Member Joined Mar 18, 2016 Posts 56 Reaction score 21 Jun 26, 2016 #2 Nakuombea maisha marefu ipo siku utaamini moja baada jingine
bendee Senior Member Joined Feb 21, 2013 Posts 111 Reaction score 146 Jun 26, 2016 #3 mimi siamini kama wewe ulie anzisha uzii huu unaakili timamu!
my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,397 Jun 26, 2016 Thread starter #4 omshasha said: Nakuombea maisha marefu ipo siku utaamini moja baada jingine Click to expand... siamini km kua mkubwa ndo kua na akili nyngi
omshasha said: Nakuombea maisha marefu ipo siku utaamini moja baada jingine Click to expand... siamini km kua mkubwa ndo kua na akili nyngi