Azizi Walter
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 221
- 139
Unapatikana wapi broMin Laptop emachines
Inataka 150,000/=
Haina kipengele chochote cha ufundi zaidi ya kutokaa na charge na adaptor yake nimeisahau mkoani, kariakoo charge yake inauzwa 15k na battery 20k
Karibuni 0692402562View attachment 2503617
Nipo Dar hii Mbezi ya Kimara
Huo
Acha kuharibu biz ya mtu kwa kupanga bei, kama hununui bora kunyamaza........Ukipata alfu 90000 chukua tena usigeuke nyuma
Sasa charge ni tatizo la kiufund ndugu yangu?Haina kipengele chochote
Cha ufundi ila haikai na chaji.....
Asante Sana mkuu
Njoo nikupe 90000 uniletee kama hii na ukileta nakuongeza nyingine 90000Ukipata alfu 90000 chukua tena usigeuke nyuma
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wajuaji sana alafu hawajui kituAcha kuharibu biz ya mtu kwa kupanga bei, kama hununui bora kunyamaza........
Watu wa hivi mnakera.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oya Jerry njoo tufanye biashara mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Umeshapata?Niko Moro mjini nataka laptop used budegt 250k to 300k please mwenye nayo PM
Dah ndio uiuze 1.8ml kweli?Kuna laptop ya dell latitude 5289
Specs
Series Dell Latitude 5289 2-in-1 12.5" Touch Laptop PC
Screen Size12.5 Inches
Color Black
Hard Disk Size 256 GB
CPU ModelCore i7
Ram Memory Installed Size16 GB
Operating System Windows 10 Pro
Card Description Integrated
Graphics Coprocessor Integrated Graphic
900k bossDah ndio uiuze 1.8ml kweli?