dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Heshima kwenu waKUU
Ikimpendeza MUNGU mwishoni mwa Mwezi ujao nategemea Kumfungulia YF MIN MARKET maeneo ya MBEZI ya KIMARA bado cjapata Eneo..! Ninachoomba kwenu ndg zangu Wapi nitapata Bidhaa za Jumla zakuweka humo kwenye MIN MARKET na km kuna mtu pia anafanya hiyo Biashara cmbaya akaleta changamoto za Biashara hii nikiamini hakuna Biashara icyo na Changamoto! Natanguliza SHUKRANI zangu nikiamini hapa kila kitu kinawezekana...!!