Mitano tena ....Funga na Igogo, Funga Buhongwa .... Funga kote ...mpaka hizi kenge za mama zitoe milio ..... We si una kitambulisho Cha CCM .... Kapange barabarani AMANI KWANZA....Mkuu wa mkoa mpya wa Mwanza CP Salum Hamuduni, mbona unawafanyia hivi Watanganyika, wasukuma wa Mwanza?
Umefungia minada yote kuanzia Nyakato, Saba Saba, Mkolani, Mkuyuni n. K
Hivi unadhani Wana Mwanza wote wana uchumi wa kwenda kununua mahitaji Super market au shopping malls?
Hujui minada ndoo kimbilio la wanyonge kupata mitumba, vya kula na mahitaji mengine?
Mnabomoa vibanda vyote ati mnataka kila mfanyabiashara awe kwenye frame.
Hivi mtaji wa 500k mtu awe na frame kweli?
Hizo frame mnazo za kuwatosha wafanyabiashara wakubwa, wakati na WA chini?
Maeneo mnayo ya kukusanya machinga wote wa Mwanza?
Au mnataka mzalishe majambazi?
Hivi unafungaje magulio, vibanda na hujaandaa mazingira rafiki ya watu kufanya biashara
Binafsi nao Mkuu wa mkoa wa Mwanza kutoka Zanzibar unamhujumu mteule wako
Sijui kama hii kazi ndo ilimshinda Saidi Mtanda, Sasa wewe ndo imekuja kufanya Kwa ufasaha
Andaa utaratibu mbona utaratibu utafuatwa tu.Tatizo la Tanzania ni wanaharakati na wanasiasa kutoka pande zote yaani watawala na wasio watawala.
Tanzania lazima kwe safi, lazima utaratibu ufuatwe
Sidhani kwamba ndo hivyo. Kwani Zanzibar hawatumii utaratibu stahiki i.e. huwa ni kiongozi anajiamulia tuu?Mkuu wa mkoa kutoka zanzibar?
hapo ndipo tatizo lilipoanzia!
Kha! Mtamuua m'bibi wa watu. Hivi, atatoa maelekezo kwa mambo mangapi nchi yote hii? Yan hata kufunga magulio ni maelekezo kutoka kwake?Ndiyo maelekezo ya yule mshamba wao sa100
Anapaswa akuombe radhi sio?Umenichafua mno kiniita mwana CCM
Mambo mengine wala sio maelekezo bali ni mtu binafsi eti amejiongeza.Maelekezo
Wanaharakati wanaingiaje hapo kwenye suala la kufunga magulio?Tatizo la Tanzania ni wanaharakati na wanasiasa kutoka pande zote yaani watawala na wasio watawala.
Ni sahihi lakini Utaratibu unaokubaliwa na wengi au wote. Kwani wafanya biashara wangeshirikishwa si wangelitoa mawazo yao au hata kupendekeza Utaratibu m'badala?Tanzania lazima kwe safi, lazima utaratibu ufuatwe