Nyinyi ndo mnaona wanaonewaWanaharakati wanaingiaje hapo kwenye suala la kufunga magulio?
Ni sahihi lakini Utaratibu unaokubaliwa na wengi au wote. Kwani wafanya biashara wangeshirikishwa si wangelitoa mawazo yao au hata kupendekeza Utaratibu m'badala?
Mkuu; Kwani kuwafungia maeneo wanakopatia riziki zao za kila siku ww umeona ni Haki yao na wanastahili kutendewa hivyo?Nyinyi ndo mnaona wanaonewa
Mbona ghulio la Mwanza limejitenga sana. Tena lipo pembeni kabisa . Halafu mara Moja kwa wiki.Tatizo la Tanzania ni wanaharakati na wanasiasa kutoka pande zote yaani watawala na wasio watawala.
Tanzania lazima kwe safi, lazima utaratibu ufuatwe
Ni suala la muda tu.... Msaidizi wa Mzee Ali Kibao kesharudi CCM... Gaidi anaingia na kutoka ikulu kama kwake ... Hata wewe upo huku kimkakati...Umenichafua mno kiniita mwana CCM
naunga mkono, kila mtu akifikiwa tutakua katika uzani sawaAcha wafunge ili wananchi wajifunze madhila ambayo watanzania wanapitia kwa vitendo.
Wanaonewa kweli. Tanzania sekta isiyo rasmi ndio kubwa. Waliopo kwenye sekta rasmi wanaolipwa Kodi hawazidi Milioni mbili na lakitano.Nyinyi ndo mnaona wanaonewa
Tanzania ukishachaguliwa tu kuwa kiongozi...una kuwa na akili nyingi hapohapo kuliko wataalam......kama hili bumunda lililokuja Mwanza.Kha! Mtamuua m'bibi wa watu. Hivi, atatoa maelekezo kwa mambo mangapi nchi yote hii? Yan hata kufunga magulio ni maelekezo kutoka kwake?