C CHIBE BOYS Member Joined Apr 20, 2019 Posts 91 Reaction score 118 Jan 13, 2020 #1 Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo? Je hizi bidhaa sio fake? Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo? Je hizi bidhaa sio fake? Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Jan 13, 2020 #2 Huchukuliwa kwa walioshindwa kulipa mikopo ila nao huwa wamenunua bidhaa fake. Nawe ukinunua unakuwa umenunua feki.
Huchukuliwa kwa walioshindwa kulipa mikopo ila nao huwa wamenunua bidhaa fake. Nawe ukinunua unakuwa umenunua feki.
C CHIBE BOYS Member Joined Apr 20, 2019 Posts 91 Reaction score 118 Jan 13, 2020 Thread starter #3 Mbao za Mawe said: Huchukuliwa kwa walioshindwa kulipa mikopo ila nao huwa wamenunua bidhaa fake. Nawe ukinunua unakuwa umenunua feki. Click to expand... Kaz kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe said: Huchukuliwa kwa walioshindwa kulipa mikopo ila nao huwa wamenunua bidhaa fake. Nawe ukinunua unakuwa umenunua feki. Click to expand... Kaz kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app