K kwelakenya Member Joined Jan 21, 2010 Posts 59 Reaction score 6 Feb 12, 2011 #1 Hivi wadau,nimekuwa nikifikiria kuanza kununua bidhaa kama nyumba,viwanja,magari au pikipiki kwenye minada ya hadhara. Sasa najiuliza,italipa?Naweza kupata vitu kwa bei nafuu kwenye minada then nikaiuza na kupata faida?
Hivi wadau,nimekuwa nikifikiria kuanza kununua bidhaa kama nyumba,viwanja,magari au pikipiki kwenye minada ya hadhara. Sasa najiuliza,italipa?Naweza kupata vitu kwa bei nafuu kwenye minada then nikaiuza na kupata faida?