kwelakenya
Member
- Jan 21, 2010
- 59
- 6
Hivi wadau,nimekuwa nikifikiria kuanza kununua bidhaa kama nyumba,viwanja,magari au pikipiki kwenye minada ya hadhara. Sasa najiuliza,italipa?Naweza kupata vitu kwa bei nafuu kwenye minada then nikaiuza na kupata faida?
mimi nauza sofa njoo ununue halafu nawe ukauze
bei tafadhali
kama vp weka picha
natafuta used sofa ambalo halijaliwa na panya tafadhali