Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 19, 2026 #21 Sio ushirikina ni wewe na uzoefu wa biashara na watu na kuishi na watu. Mimi nilipozaliwa ni uswahilini kabisa na nikipita hakuna mshirikina yoyote wa kunifata labda wawe CcM kwa kisingizio cha polisi maana ndio njia wanatumia
Sio ushirikina ni wewe na uzoefu wa biashara na watu na kuishi na watu. Mimi nilipozaliwa ni uswahilini kabisa na nikipita hakuna mshirikina yoyote wa kunifata labda wawe CcM kwa kisingizio cha polisi maana ndio njia wanatumia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 21, 2026 #22 Lisemwalo lipo... Cc: Mahondaw
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Jun 21, 2026 #23 Uzushi. Stori za jaba