Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
- Thread starter
-
- #21
banoba anakuja mwishoni kwenye practical na mikwara mingi . mhh ila sijui kama kuna mtu alipona na yale maji maana style ni moja muda wote mikono kunako .............................Hhahaha....umenikumbusha mbali sana,....ile DCM ya Lady Nyambala Buguruni-Msanga bado ipo?...mngurumo wake ukifika kinyanyiko tayari watu wa mirambo washatambua ni mlio ghani....sitamsahau mzee mnoko Sogoi,mama Kiungai na mwalimu wangu wa physics Banoba!....dah namisi kichizi mihogo ya mama kinyogoli na tembele za mama nanihiii.....!dah...
mkuu duuh umenikumbuka haka kastyle kakuDROP kama nimetoa mhh ishukuriwe minaki jamani ila mi ilikuwa baada ya uji wa saa nne tu nduki kudandia mapindi kwa town mpaka jumapili jioni kwenye roll-callaiseee nimekumbuka mihogo ya kukaanga pale bwaloni... ijumaa kama kawa saa sita mapeeema unadrop jijini
hivi fumbuka bado yupo?
aiseee nimekumbuka mihogo ya kukaanga pale bwaloni... ijumaa kama kawa saa sita mapeeema unadrop jijini
hivi fumbuka bado yupo?