Binafsi nimepitapita maeneo mbalimbali katika nchi hii nimekuta minara imejengwa katika maeneo ya shule,sasa nauliza shule hizo zinanufaika vipi na kodi hiyo ya minara maana shule ziko choka mbaya no body who care.

mostly head master,second na mwl wa mradi ndo wanaozigawana,na sababu hizo mambo hazihusiki na sirikali kunakuaga hamna maswali mengi kuhusiana nalo. Nimeshaiona sana hii.