INAUZWA Minara ya radio na simu

INAUZWA Minara ya radio na simu

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu.

Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam.

Mnara una kila kitu chake. Machine zote.

0783985530

images (15).jpeg
 
Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu.
Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es salaam.
Mnara una kila kitu chake. Machine zote.
0783985530
View attachment 2152224

Pitia kwa makampuni ya simu, vituo vya redio na televisheni, makampuni ya intaneti...hao ndio wanunuaji wa minara

By the way picha za huo mnara zi wapi na iweje mtu binafsi uwe wamilikia mnara wa simu?
 
Mnara Jaribu Kwa Madereva Wa Basi Wanapenda Kusoma Minara Wawapo Njiani
 
Pitia kwa makampuni ya simu, vituo vya redio na televisheni, makampuni ya intaneti...hao ndio wanunuaji wa minara

By the way picha za huo mnara zi wapi na iweje mtu binafsi uwe wamilikia mnara wa simu?
Wanaomiliki minara ni watu wa aina gani boss wangu?
 
Asante
 
Wanaomiliki minara ni watu wa aina gani boss wangu?

Ninavyojua ni makampuni ya simu kama Tigo, Airtel, Voda, TTCL...

Halafu pia kuna makampuni ya minara kama Helios, TTCL na kampuni mpya inaitwa Minara...

Kwa watu binafsi huwa wanakuwa na eneo, hayo makampuni tajwa hapo juu huja kuyakodi na kisimika minara yao, halafu yanamlipa pango mwenye eneo...

Sasa mtu binafsi kumiliki mnara ni hadi pale ambapo kampuni iliyokodi eneo imeshindwa kulipa pango, then kesi ikaenda mahakamani na ikaamuliwa assets za kampuni zipigwe mnada kufidia deni...
 
Za kuambiwa changanya na za kwako...

Kuna binadamu anauza nguzo za Tanesco na transformer...
 
Ninavyojua ni makampuni ya simu kama Tigo, Airtel, Voda, TTCL...

Halafu pia kuna makampuni ya minara kama Helios, TTCL na kampuni mpya inaitwa Minara...

Kwa watu binafsi huwa wanakuwa na eneo, hayo makampuni tajwa hapo juu huja kuyakodi na kisimika minara yao, halafu yanamlipa pango mwenye eneo...

Sasa mtu binafsi kumiliki mnara ni hadi pale ambapo kampuni iliyokodi eneo imeshindwa kulipa pango, then kesi ikaenda mahakamani na ikaamuliwa assets za kampuni zipigwe mnada kufidia deni...
Siku nyingine uliza. Zipo kampuni zaidi ya unazojua zinazomiliki minara. Cootel, wana minara yao, Chance Ndoto ana minara yake, na watu wengi tu wengine, haswa watu wa mikoa ya kanda ya ziwa.
 
Sawa, asante kwa ufafanuzi zaidi...

Mnara wako una equipments gani chini na juu?

Kuna operator yoyote anayeutumia ambaye yupo active?
 
Back
Top Bottom