Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu.
Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es salaam.
Mnara una kila kitu chake. Machine zote.
0783985530
View attachment 2152224
Huo mnara saivi unautumia kwa kazi gani?Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu.
Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam.
Mnara una kila kitu chake. Machine zote.
0783985530
View attachment 2152224
Wanaomiliki minara ni watu wa aina gani boss wangu?Pitia kwa makampuni ya simu, vituo vya redio na televisheni, makampuni ya intaneti...hao ndio wanunuaji wa minara
By the way picha za huo mnara zi wapi na iweje mtu binafsi uwe wamilikia mnara wa simu?
Upo store.Huo mnara saivi unautumia kwa kazi gani?
😂😂😂😂sawa tajiriKula elf50
AsantePitia kwa makampuni ya simu, vituo vya redio na televisheni, makampuni ya intaneti...hao ndio wanunuaji wa minara
By the way picha za huo mnara zi wapi na iweje mtu binafsi uwe wamilikia mnara wa simu?
Wewe ndo mmiliki wa huo mnara?Upo store.
Upo store.
Wanaomiliki minara ni watu wa aina gani boss wangu?
[emoji28] wapi hukoZa kuambiwa changanya na za kwako...
Kuna binadamu anauza nguzo za Tanesco na transformer...
Siku nyingine uliza. Zipo kampuni zaidi ya unazojua zinazomiliki minara. Cootel, wana minara yao, Chance Ndoto ana minara yake, na watu wengi tu wengine, haswa watu wa mikoa ya kanda ya ziwa.Ninavyojua ni makampuni ya simu kama Tigo, Airtel, Voda, TTCL...
Halafu pia kuna makampuni ya minara kama Helios, TTCL na kampuni mpya inaitwa Minara...
Kwa watu binafsi huwa wanakuwa na eneo, hayo makampuni tajwa hapo juu huja kuyakodi na kisimika minara yao, halafu yanamlipa pango mwenye eneo...
Sasa mtu binafsi kumiliki mnara ni hadi pale ambapo kampuni iliyokodi eneo imeshindwa kulipa pango, then kesi ikaenda mahakamani na ikaamuliwa assets za kampuni zipigwe mnada kufidia deni...
Siku nyingine uliza. Zipo kampuni zaidi ya unazojua zinazomiliki minara. Cootel, wana minara yao, Chance Ndoto ana minara yake, na watu wengi tu wengine, haswa watu wa mikoa ya kanda ya ziwa.