Minara ya simu na Mikataba ya Kinyonyaji

Minara ya simu na Mikataba ya Kinyonyaji

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Leo nimeipata kusoma mkataba na kumsikiliza Wakili Nguri hapa, Tanzania Nikafikirisha akili yangu nikagundua Watanzania Wezetu ndio wanaotuingiza kichaka kwa ku Saini Mikataba Mi bovu.

Pia huo mkataba unajua hauna manufaa kwa mtu anaekodisha Eneo lake wanakupa % chache sana za kupanda kwa Kodi na unapanda baada ya Miaka 5.

Kwa Mtazamo wangu haya makampuni ya Minara Wengi ni mataperi ikitokea wamekuja kwako kuitaji Eneo kwa ajiri ya kujenga mnara, kua makini na Mikataba yao wanakodi Eneo kwa maiaka 25, Sasa pesa watakayo kulipa Wala haiendani na uthamani wa Eneo nautapeli sana

Hawa watu wa minara, pia wanatumia maneno ya Ulaghai.

Hawa wandugu wameshapigwa.

Mkatata umesainiwa Miaka 25.

Yaani Eneo kama wametoa Bure.
 
Mara 1000000000 uwakodishe eneo lako watu wa minara ya simu kuliko kukopesha raia wa kawaida mtaani,

Minara wanalipaga above market rate za eneo husika, eneo la kukodisha laki wanaweza kukulipa hata 500k
 
Back
Top Bottom