Niliikubali sana "The Sixth Sense" ambayo kwako umeiweka nafasi ya pili. Hii iliyoshika nafasi ya kwanza lazima niifuatilie. Hii Unbreakable lazima niiangalie.

Naona hadi sasa na library yangu ya movie inapendeza🤩

Changamoto yangu kubwa nikianza kuangalia filamu za taste hii, huwa napata shida sana kuangalia taste nyingine.
 
Of course, hio changamoto hata mimi inanipata.
 
BREAK AWAY FROM THE MATRIX!
 
Tafuta hizo app HDO box na Onstream unaweza angalia movie mpaka series online, Onstream unaweza download kabisa ukaangalie baadae
Hizi app ziko play store ama zinapatikanaje!?
 
The Matrix 1999

AI kitambo 1999 hapo kabla ya AI namaanisha haya ma Bald sijui Google Ai na makitu mengine Ila movie ishatoka predicted future,
 
Ila kuna sci fi moja niliiona kwa jamaa sikuijua jina Ila ni bonge la movie inafikirisha balaa sikuwahi kuiona popote na sijawahi kuiona tangu pale hadi nahisi ni ndoto Ila ni movie niliiona kweli na jamàa kahama siwezi tena kuipata au kuiona ile movie ni bonge moja la movie nadhani ni zaidi ya Matrix jina silijui maana jamaa alikua ananionyesha km trailer tu nikasema nitaichukua sikufanikiwa kuichukua wala kuiona jina silijui image za movie zimebakia kichwani
 
Kuna ile NeXt series ya 2020 na What Happened to Monday
 
Jaribu kutoa concept au maelezeo/review au concept kidogo kupitia hiyo trailer, Lazima utapata mdau wa kusaidia kupata jina la hiyo filamu.
 
M. Night Shyamalan ana movie nyingine kali inaitwa Signs. Ingawa baadhi ya movies alizotoa baadaye kama The Last Airbender, The Village na Lady In The Water. zili-flop. Baadaye alirudi na Split na Glass ambazo zili-hit.
 
Inception haieleweki. TENET ndiyo kabisa haieleweki. Kuchamba kwingi sana zile movies. The Matrix safi, wanasema The Matrix siyo movie ni documentary. Kama uliicheki zamani nashauri ukaicheki tena.
Thats the idea mkuu, ndo maana mleta uzi akasema MIND BENDING/BLOWING MOVIES.Unatakiwa utulie ndo ucheki movie uielewe. Sio kama hiyo Sissu sijui Susso alotaja mdau juu huko, what a waste of 2hours

We live a twilight world
 
PROTAGONIST:Hey!(Neil turns)You never did tell me who recruited you.

NEIL(smiles): Haven’t you guessed by now? You did. Just not when you thought. You have a future in the past. Years ago for me. Years from now for you.

PROTAGONIST
You’ve known me for years?

NEIL🙁nods).For me, I think this is the end of a beautiful friendship.

PROTAGONIST:But for me it’s just the beginning?

NEIL:And we get up to some stuff. You’re
gonna love it. You’ll see. Thiswhole operation is a temporal pincer.

PROTAGONIST:Whose?

NEIL:Yours. You’re only halfway there. I’ll see you at the beginning, friend.




View: https://youtu.be/gbO6X_aCxDE?si=uLqUEumKO-76U8jj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…