Mind game waliyokuja nayo Simba ni ya kitoto

Mind game waliyokuja nayo Simba ni ya kitoto

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Uongozi wa Simba SC Pamoja na msemaji wao lopo lopo asie na weledi Haji Manara wamegundua kua tambo zao hua zinawapa morali na kubusti hari ya upambanaji kwa wachejibwa Yanga kwenye Derby.

Mara ya mwisho Haji Manara kwenye harakati zake za kuropoka kama ilivyo kawaida yake aliwaita wachezaji wa Yanga kua ni wa kuokota okota(taka taka).

Kauli ambayo iliwafanya wachezaji wa Yanga kutaka kumuonesha kua wao sio wa kuokota na kupelekea kuwabomoa wekundu wa Msimbazi na mechi safi kabisa.

Baada ya haya yote safari hii simba wameamua kugeukia mlango wa pili wa mind game.

Mind game ya Manara na Barbra inaweza ikawasaidia ila ni ya kitoto sana, kwa clabu makini na yenye kujua michezo kama hii kama Yanga haita wasaidia kwa kiasi wanacho tegemea.

Walipaswa kuja na idea nzuri zaidi.

Kwasababu kinachoendelea haki make sense, wala hakiwezi kumake sense et msemaji wa timu na mtuhumu CEO wake kwenye audio na kuisambaza WhatsApp how?

Utoto ulioje, uki mskiliza manara kwenye audio ile utaona kabisa yupo Kaole sanaa group au sinema zetu na mama kimbo akijaribu kuuadaa uma kua ana jazma.

Wangetaka kucheza mind game wangekuja JamiiForums tuwashauri.

IMG-20210722-WA0045.jpg
 
Mind game kama hizi hamna duniani labda kama zimeanzia Tanzania, huu ni upuuzi, ujinga na kinyume na uweledi.
 
Hii kweli inawezekana ni propaganda tu maana kuna clip ya msemaji manara yamiezi mitatu iliyopita anasikika akiongea na waandishi wa habari akimtetea babra na kuwashangaa wale waliokua wanahoji vipi kaenda kukutana na akina fiorentina na samuel etoo
Sasa manara angekua na chuki kubwa na babra tena kwa zaidi ya mwaka asingeongea yale jana
 
Back
Top Bottom