Mind you, Nairobi is just 696 km sq while Dar is a vast city with 1,590 km sq

Nairobi iko vizur jmn dar yetu tujipange bado Tena bado Sana hasa issue ya miundo mbinu....

Wametuzidi over....tusilingie ukubwa wa jiji quality matters
 
Newark na
With the introduction of SGR eventually the whole Kenya will be Nairobi Metropolitan coz hamna fence!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Newark city and Jersey city ziko new Jersey state but under new York metro...but ukiziangalia through pics utasema tu kwote ni new York...same as kiambu,limuru,ruiru, kikuyu,kangundo ,athi river, rongai kitengela
 
Ok. In a simple language Dar =nairobi+kigali+kampala
 
Mnajipa hope tu
 
Upuuzi wa kiswahilo ndio upi wewe pathetic.
Nishakushusha hadhi.
 
Hahah you are now closer to say the whole kenya is nairobi
 
Newark na

Newark city and Jersey city ziko new Jersey state but under new York metro...but ukiziangalia through pics utasema tu kwote ni new York...same as kiambu,limuru,ruiru, kikuyu,kangundo ,athi river, rongai kitengela
Good Newyork mipaka yake imewekwa 1897 kama sijakosea na hapo hawaja sema habari za metro wame kua clear na namba zao na Nai mkubali ukweli. Nai ni kasehemu kadogo tu
 
Sidhani kama hiyo ni hoja, hiyo ni mipaka ya kiutawala tu na huenda siku zijazo Jiji la Dar likawa sq mt. 100 tu pale tutapoamua kuzifanya Manispaa za Kinondoni na Ilala kuwa majiji na kuufanya mkoa wa Dar kuwa na majiji 3.

Vv
 
Cha kushangaza hiyo hiyo Nairobi kwa udogo wake ina uchumi unaotoshana na kulinganana na uchumi wa Tanzania yote....mivivu
 
Nairobi is far developed than Dar tujipange tumeachwa karibia katika kila aspect hasa miundombinu. Tujipange tu
 
Cha kushangaza hiyo hiyo Nairobi kwa udogo wake ina uchumi unaotoshana na kulinganana na uchumi wa Tanzania yote....mivivu
Wewe hujaona wenzako wanakwambia Nairobi haina fence so Kenya is Nairobi. Ofcoz uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wa Africa nzima
 
kenyan protending to be Tanzanian.. You are such a crap!
 
Wewe hujaona wenzako wanakwambia Nairobi haina fence so Kenya is Nairobi. Ofcoz uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wa Africa nzima
Kojoa ukalale. Umepewa hadi ramani na mipaka ya Nairobi alafu ukataka uoneshwe na fence pia? Aliyekujibu hivyo ni genius. [emoji1]
 
Kama mlivyoambiwa na MK254 , mbona Nairobi na udogo wake inatoshana GDP na Tanzania nzima?
Na mbona New York City ambayo ni ndogo kuliko Dar iko na GDP mara 30 ya Tanzania?

Kijana jifunze kutofautisha boundaries na built up area.

Dar is only big on paper and maps.
On the ground, it is almost the size of Mombasa. Ukitoa your slums and other ugly structures, Dar is slum inatoshana na Nakuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…