pengine kwa kuanzia tu mnisaidie hili; hivi kuna vifaa vya elecronic vinavyoweza kupima uwepo wa gold au copper katika ardhi?kama vipo vinapatikana wapi na bei yake ni kaasi gani?habari,
tumeanzisha kampuni ya consultant katika mambo ya dhahabu na copper.hii kampuni itakua inajihusisha na processing
of gold and copper mfano ore yako ina dhahabu na copper na nia yako ni kupata dhahabu tuu then tutakusaidia na gharama zetu ni nafuu sana na inahusisha watu engineers waliokaa katika sekta ya gold and copper processing zaidi ya miaka 2.
Karibuni
mawasiliano 0785804838
Habari,
Tumeanzisha kampuni ya Consultant katika mambo ya Dhahabu na Copper.Hii kampuni itakua inajihusisha na processing
of Gold and Copper mfano Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako ni kupata dhahabu tuu then tutakusaidia na Gharama zetu ni nafuu sana na inahusisha watu Engineers waliokaa katika sekta ya Gold and Copper processing zaidi ya miaka 2.
Karibuni
Mawasiliano 0785804838
Sasa mfano barrick,wanajua je kwamba buzwagi kwa mfano kuna gold kabla ya kulihodhi eneo na kuanza kuchimba? Sisi watanzania tukitaka kufanya utafiti wa uwepo wa dhahabu mahali tunatakiwa kuanzia wapi?
Thank you Majita na ukishagundua kwamba kuna dhahabu then unachukua sample na hiyo sample yabidi iwe representative na unapeleka Geological Survey of Tanzania ambayo gharama zao ni cheap sana yan sana compared na wengine mana ni ya Serikali.
majita naomba utaje bei ya hicho kifaa ili kiweze kumsaidia kila mtu