Minerals deal (ruby, copper, gold)

Minerals deal (ruby, copper, gold)

dullymo

Senior Member
Joined
Aug 21, 2009
Posts
105
Reaction score
5
A'aleykum

hellow guys.

Kuna rafiki yangu mmoja anashughulika na mambo ya madini ameniombe nimwekee ad yake hapa.

Anatafuta mwekezaji, share holder au mteja wa madini yafuatayo

- gold
- copper ore
- galena
- tantalite (colta)
- iron
- amasyst
- ruby
- agate
- opper silk
- opper

na aina yoyote nyingine ya madini anaweza kukupatia.

Ana eneo la zaidi ya ekari 400 hapa tanzania na kama kuna mtu au kampuni itayopenda kujiunga naye (joint venture, share holder, investors) inakaribishwa kwa mikono miwili.

Pia yoyote atakayeleta mteja naye atapata comm yake.

Kwa maelezo ya ziada tafadhali piga

0713 744 144 - abdul

0787 025 815 - suleyman
 
kaka niko interested ila ninataka kujua kama kuna utafiti wowote umefanyika kuhusu madini hayo. ninajamaa zangu wa marekani wantaka kuwekeza kwenye hiyo sekta
 
kaka niko interested ila ninataka kujua kama kuna utafiti wowote umefanyika kuhusu madini hayo. ninajamaa zangu wa marekani wantaka kuwekeza kwenye hiyo sekta

utafiti umeshafanywa na analysis report zipo ni vyema kama 2ngepata muda wa kuonana pamoja na hao jamaa zako na kuongea kwa details zaidi. napatikana ktk hz no hapo juu. regards- abdul
 
Back
Top Bottom