Mini GPS ulinzi wa chombo au kifaa chako

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
πŸ”₯ MINI GPS TRACKER (GF-07) – ULINZI WA CHOMBO CHAKO! πŸš—πŸοΈ
Fuatilia gari, pikipiki au mzigo wako popote ulipo kwa kutumia simu yako! πŸ“±βœ¨
πŸ“ Real-Time Tracking: Inakuonyesha eneo kifaa kilipo muda wowote.
πŸ’³ Laini ya Simu: Inatumia SIM card yoyote.
🀫 Saizi Ndogo: Rahisi kuficha mahali popote bila kugundulika.
πŸ”‹ Inajazwa Chaji: Inakuja na cable ya chaji.
πŸ’° BEI: 55,000/=
πŸ“ LOCATION: Arusha Town
πŸ“ž PIGA / WHATSAPP: 0712350159

 

Attachments

  • 1000061402.jpeg
    101.3 KB · Views: 13
Hivi huto tudude ukitufunga kwenye mtumbwi kisha ukawa mbali na nchi kavu ambapo tu hata simu ya nokia haipati mawasiliano unaweza jua chombo chako kilipo
 
Hapo kwenye chaji, ukisahau kuichaji na ukapoteza chombo ndio imekula kwako?
 
Mimi nilinunua nimekiweka ndani ya begi la nyumba ndogo yangu.
 
Mimi nilinunua nimekiweka ndani ya begi la nyumba ndogo yangu.
 
Hivi huto tudude ukitufunga kwenye mtumbwi kisha ukawa mbali na nchi kavu ambapo tu hata simu ya nokia haipati mawasiliano unaweza jua chombo chako kilipo

Hii inatumia mnara wa simu na sio Satellite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…