masterbaster
Member
- Feb 4, 2016
- 80
- 63
Mbona bei hii ni ya mpya? Tena sio za kichinaHD Kali Sana Ni LED ya kisasa MPYA
.HDMI .USB. VGA. .AUX .VIDEO OUT .BAG
Unaweza kuunganisha Laptop,kingamuzi, Pc ,cm yako na Tv Box unakaifaya pia kua smart
Bei 350,000/= Call 0764876888 Magomeni/DsmView attachment 1547394View attachment 1547397View attachment 1547400
Mpya ya wapi screenshoot wanapouza bei hiyo na model unaijua ww hapa hapa usiongee tu na aliyesema hii ya zamani ni nani?Mbona bei hii ni ya mpya? Tena sio za kichina
😂😂 haha picha huoni mzee BabaDuhhhh....!!
Amakweli sasa nimekua mzee, na nipo nje ya wakati kabisa. Maana hapa hata sielewi kinajadiliwa kitu gani...[emoji19]
Haipati moto mzeeHaipati moto