INAUZWA Mini wifi Spy camera

Kama ni ya kuchaji,inakaa na chaj muda gani? Vp huwezi iunganisha na umeme?
Mkuu naomba kufahamu Kama unaweza weka CCTV cameras nyumbani lakini zikawa zinatumia umeme wa solar
Hii ni spy camera na sio cctv camera so inakaa na charge kwa masaa mawili

Unaweza ukaiunganisha na umeme ikawa on muda wote

Kuhusu cctv cameras za solar ndio unaweza ukafunga nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…