Jaman my dream nikuona oneday namiliki duka la pamba za kisasa za mashost na mabraza wa town, nataka kujua mwenye experience kinachoitajika for a beginner esp capital kwa duka la kawaida la kuanzia,
Siamini kama hamna mtu anayejua kuhusu hii kitu,
Japo haukuwa detailed but i believe someone(with experience na upeo) angeweza kuweka ma-options/ukweli kibao. 🙁