Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Kwa yule mwenye information kuhusiana na mafunzo ya ualimu
Je kiwango gani kinatakika kwa mtu aliyemaliza kidato cha nne?
Nauliza nikimaanisha both government institution na private institution
Pia naomba source of info kama utakuwa nayo
Nafikiri huu uzi utatusaidia na uwasaidia ndugu zetu
KARIBUNI