OleWako
Member
- Sep 7, 2021
- 10
- 43
Nilipotaka kuthibitisha taarifa kuhusu leseni za kuchimba madini ya lithium nchini niligundua ramani ya "Mining Cadastre" haipatikani tena. (http://portal.madini.go.tz/map/)
Wizara ya Madini wanataka tusipate access ya taarifa ya msingi hizi tena au kuna changamoto ya mfumo wa TEHAMA kwao?
Vile vile huduma ya ramani hii irudiwe na iendelezwe ili kuwezesha uwajibikaji wa utoaji wa leseni.