Mining economics and health economics

Mining economics and health economics

hanley jr

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
119
Reaction score
27
hizi kozi zipo tanzania na kama zipo ni vyuo gani vinatoa hizo kozi.?ni hayo tu wakuu
 
hizo zitakuja.!but kwa sasa tuna, building economics tuu from ardhi university ambapo graduater's wake tunawatambua kama quantity surveyors kwenye sekta ya ujenzii! overrr
 
Hzo ni course ndani ya economics degree..kwa chuo kama udsm huwa ni optional courses ufikapo mwaka wa tatu.over
 
nafikiri unauliza kwenye masters level sio? Hapana hakuna bado. Ila nafikiri hio ya health economics itatoka MUHAS in 2 years.
 
Back
Top Bottom