H hanley jr Senior Member Joined Feb 26, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Dec 10, 2013 #1 hizi kozi zipo tanzania na kama zipo ni vyuo gani vinatoa hizo kozi.?ni hayo tu wakuu
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Dec 10, 2013 #2 MMh, sijasikia
H hanley jr Senior Member Joined Feb 26, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Dec 10, 2013 Thread starter #3 Kongosho said: MMh, sijasikia Click to expand... ebu tusubirie na wengine kama wamewahi kusikia
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Dec 10, 2013 #4 hizo zitakuja.!but kwa sasa tuna, building economics tuu from ardhi university ambapo graduater's wake tunawatambua kama quantity surveyors kwenye sekta ya ujenzii! overrr
hizo zitakuja.!but kwa sasa tuna, building economics tuu from ardhi university ambapo graduater's wake tunawatambua kama quantity surveyors kwenye sekta ya ujenzii! overrr
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Dec 10, 2013 #5 Hzo ni course ndani ya economics degree..kwa chuo kama udsm huwa ni optional courses ufikapo mwaka wa tatu.over
Hzo ni course ndani ya economics degree..kwa chuo kama udsm huwa ni optional courses ufikapo mwaka wa tatu.over
Nyamgluu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 3,160 Reaction score 1,726 Dec 10, 2013 #6 nafikiri unauliza kwenye masters level sio? Hapana hakuna bado. Ila nafikiri hio ya health economics itatoka MUHAS in 2 years.
nafikiri unauliza kwenye masters level sio? Hapana hakuna bado. Ila nafikiri hio ya health economics itatoka MUHAS in 2 years.